Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,251
- 44,586
Kuna habari kuwa kuna ajali nyingine zimetokea hadi hivi sasa vyanzo vinadokeza watu 6 wamepoteza maisha.. stay tuned.. hili wingu hili.. lazima lifikie kilele kwa kuondoka na mtu apendwaye au mashuhuri...
Mkuu sawa, na nasikitika kwamba hii umeitoa kana kwamba unamkomoa mtu vile? Sasa tuwe tuned to hear what? More casualities?Kuna habari kuwa kuna ajali nyingine zimetokea hadi hivi sasa vyanzo vinadokeza watu 6 wamepoteza maisha.. stay tuned.....
I feel pitty coz you too expect to get the unexpected! What is the reason(s) for you to say so? God forbid! Shetani hana nafasi!hili wingu hili.. lazima lifikie kilele kwa kuondoka na mtu apendwaye au mashuhuri...
Mkuu sawa, na nasikitika kwamba hii umeitoa kana kwamba unamkomoa mtu vile? Sasa tuwe tuned to hear what? More casualities?
I feel pitty coz you too expect to get the unexpected! What is the reason(s) for you to say so? God forbid! Shetani hana nafasi!
... stay tuned.. hili wingu hili.. lazima lifikie kilele kwa kuondoka na mtu apendwaye au mashuhuri...
You are forgiven! Nilikuwa nasoma ile thread ya watu wanaokuwa mstari wa mbele kupiga picha mbaya za marehemu wa ajali! Kidogo tu nikakutana na hii heh! Nikaishiwa nguvu! hata sielewi ni kitu gani kifanyke kuinusuru TZ!pole Pape.. hiyo "stay tuned" ni kosa langu; my original message ilikuwa imeishia hapo lakini nikaongeza mistari iliyofuatia bila ya kuondoa hilo. My bad.
mashoga, wasagaji, mamende wauawe. Hawana tofauti na wauaji wa ma albino!inasikitisha sana. Wakati umefika sasa kwa wananchi kuchukua hatua. Vyombo vya dola vimeshindwa. Na hii inaonyesha madhara ya rushwa kwa kiasi kikubwa yanawakuta wasiokuwa na hatia
.
MMKJJ, is it wishful thinking, yaani just imagining?
Au ni mind over matter kwenye mind suggestibility mtu apendwaye na mashuhuri achomoke?.
Is it precognition umeiona in your mind, au preamonition, unaitabiria iwe na itakuwa?.
Nasubiri kwa hamu update...thanks.
sijui ni kitu gani lakini wiki hii imeanza vibaya.. naona kuna wingu la vifo ajali nyingine kubwa ya vyombo vya usafiri au msiba mzito. Tumwombe Mungu atuponye na kutuokoa. Bado kuna kiza juu ya nchi yetu.
Nimeota ajali kubwa ya moto; sijui kama ni ofisi au mahali wanapoishi watu na sijui kama ni TZ au sehemu nyingine. Ila ni moto mkubwa kwa kweli.
Kuna kila dalili kuwa kabla ya mwisho wa mwezi wa tatu kunaweza kutokea ajali nyingine ya ndege lakini hiyo itakuwa ni ya kusababisha machozi. Tumwombe Mungu isitokee na aepushe na kunusurisha wengi zaidi kama siyo wote). Ni kiza.
Niliandika hivi Feb 8:
Feb 4: niliandika hivi:
Ilipofika Feb 9 kulikuwa na ajali za moto kubwa huko US, SA na moto wa jengo sijui la watu gani pale Dar..
Jan 19 niliandikia hivi:
By Feb 9 kulikuwa na ajali iliyoua huko Brazil, Feb 13 ajali ya ndege Buffalo NY, Feb 25 ajali ya ndege Uholanzi (watu 9 walikufa), March 10 ndege ya Ukraine huko Uganda imeanguka na kuua 11, by Mach 23 watu 17 wamekufakwenye ajali ya ndege huko Montana, US
...
So is this one of those dreams?