AJali nyingine yatokea mda huu Chalinze:

AJali nyingine yatokea mda huu Chalinze:

da!hii ni hatari sana kila cku ajari,ila jamani KENYA nako ndio balaa kwa ajari!
 
Katavi mi najiulizaga sana:
hivi kunamahusiano gani kati ya mwisho wa mwaka na wingi wa ajali???!
Sjapata jibu!

mwisho wa mwaka watu wengi wanasafiri kurudi makwao....kwa usafiri binafsi na mabasi....wingi huu unajumuisha madereva wa aina zote waliojifunza juzi wasio na uzoefu kila mtu anataka arudi kwao....pia mabasi hata yale yasiyofaa kutembea yanatolewa kwasababu abiria ni wengi wako desparate wanapanda basi lolote...sasa basi ukichukua wingi wa magari+magari mabovu+madereva wasio na uzoefu unapata majanga....
 
Kenya jana wamekufa watu35 mabasi mawili yamegongana uso kwa uso. Eneo la mtiti wandei
 
Looooh twaisha watanzania na ajali y mwishon mwa mwaka ndo sana jaman mie huwa naona hapa kuna jambo si bure asee afu mbaya zaid gari 1 likidondoka unaona analeta magar mengine mapya hata 3 au zaid
 
sijui kuna uhusiano gani aisee.

Kuna Mdau (HINI) kaniambia ni wengi wa safari za mikoa ndio unasababisha!
...
Hapa bado najiuliza:
kwani misafara ikiwa mengi si inasababisha foleni ambayo itafanya vyombo vitembee kwa mwendo mdogo! Si ndio?
...
Afu tukiachia safari za mikoa ambazo tunaweza kusema hazina foleni!
Vipi kuhusu hizi ajali za katikati ya jiji?
...
HINI na TCleverly tusaidie na hapa embu!
 
Last edited by a moderator:

foleni inasabisha watu kuwa impatient na kuchukua rush decision kama kuamua ku-overtake msururu wa magari 3-7 matokeo yake ni ajali.....

katikati ya jiji siku za sikukuu kama kawaida kila mtu atatoka/atalewa hata ambae huwa hanywi siku atalewa,angalia kumbi za starehe na sehemu kama hizo zinajaa kuliko siku za kawaida,kuna watoto/vijana wanaiba magari siku hio coz wazazi wameenda kujirusha....matokeo yake ajali tu

[QUOTE =Katavi;8190891]Hizi ajali jamani. Poleni majeruhi.[/QUOTE]

N
 
mwisho wa mwaka watu wengi wanasafiri kurudi makwao....kwa usafiri binafsi na mabasi....wingi huu unajumuisha madereva wa aina zote waliojifunza juzi wasio na uzoefu kila mtu anataka arudi kwao....pia mabasi hata yale yasiyofaa kutembea yanatolewa kwasababu abiria ni wengi wako desparate wanapanda basi lolote...sasa basi ukichukua wingi wa magari+magari mabovu+madereva wasio na uzoefu unapata majanga....

Sure,
ajali ya juzi ambayo ilihuusisha hiace na lorry kule kange tanga na kuua 6 akiwemo mama yangu mdogo inasemekana siku hiyo dereva mzoefu alikuwa hajisikii vema na baadae tajiri (Mwenye gari aliamua kuendesha mwenyewe hiyo daldala lkn kabla ya siku kuisha ndio ikagonga kwa nyuma lorry lililokuwa limepaki barabarani pasipo kuwek alama yyt kama limepata hitiilaf!
 
Sababu ni zile zile kila mwaka:
Ulevi, magari mabovu, madereva wasio na mafunzo ya kutosha, madereva wasio na leseni, barabara mbovu, kutokuwepo kwa alama za barabarani, rushwa n.k.
 
pole kwa waliofikwa na matatizo hayo
 
poleni sana majeruhi ajali bado zinamaliza watu maskini wanaopandia Ubungo huku wale wenzao wanaopandia Kipawa 'airport'JKNIA wakiwa salama salmini.
 
mwisho wa mwaka watu wengi wanasafiri kurudi makwao....kwa usafiri binafsi na mabasi....wingi huu unajumuisha madereva wa aina zote waliojifunza juzi wasio na uzoefu kila mtu anataka arudi kwao....pia mabasi hata yale yasiyofaa kutembea yanatolewa kwasababu abiria ni wengi wako desparate wanapanda basi lolote...sasa basi ukichukua wingi wa magari+magari mabovu+madereva wasio na uzoefu unapata majanga....

asante kwa jibu la kisayansi kabisa ongeza hapo na uroho WA kupenda kupata mara mbili. Yaani unataka kuzikamata mara kumi zaidi mfano Basi la Burudani lilioua zaidi ya 16 juzi Kati lilikuwa na abiria zaidi ya 95 wakati basi la Kampuni ya Simiyu lilikua likitembea usiku WA saa tisa ili wafike Dar na Kugeuza. Thanks. Hakuna kafara wala nini ni uzembe tu WA watu including Askari WA Barabarani
 
Back
Top Bottom