Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,204
- 99,943
Hahahaah! Hata humo ndani unaweza kupata ajali pia.
hahahaaaaa you mean akavunja "kifanyio" chake???!!;
Hahahaah! Hata humo ndani unaweza kupata ajali pia.
Kikubwa si umeelewa,unadhani wote ni fundi magari kama wewe ayajue majina ya magari?Au ndo bange za mchana?Toyota ndogo ndio gari gani? Vitz,Fun Cargo,Passo,ist?
Uhusiano uliopo ni kwamba mwisho wa mwaka madereva wengi waliozoea kuendesha kati ya kinondoni na posta wanageuka madereva wa masafa dar mby, dar bkb ,dar msh, dar songea nk nk . cha ajabu kutokea kwa ajari kitakuwa ni ni wakati idadi ya wanaoendesha magari huku wamesinzia imeongezeka barabarani ?
Ndiyo mwezi wa wenye magari kutoa kafara. Ni ukweli kbs wala c longolongo
Kikubwa si umeelewa,unadhani wote ni fundi magari kama wewe ayajue majina ya magari?Au ndo bange za mchana?
Kuna Mdau (HINI) kaniambia ni wengi wa safari za mikoa ndio unasababisha!
...
Hapa bado najiuliza:
kwani misafara ikiwa mengi si inasababisha foleni ambayo itafanya vyombo vitembee kwa mwendo mdogo! Si ndio?
...
Afu tukiachia safari za mikoa ambazo tunaweza kusema hazina foleni!
Vipi kuhusu hizi ajali za katikati ya jiji?
...
HINI na TCleverly tusaidie na hapa embu!
Mi ntatoka ndani tarehe 1 january
poleni majeruhi wote mungu awatie nguvuHabari nlizonazo toka kwa mmoja wa ndugu yangu ambaye anasafiri ya GREEN STAR akitokea mbeya wamekwama kupita Chalinze baada ya kukuta ajali iliyokutanisha gari ya mafuta na toyota ndogo.
Kuna majeruhi bado wanaendelea kutoa wengine zaidi waliobanwa chini ya gari.
Ntaendelea ku-update zaidi
Habari nlizonazo toka kwa mmoja wa ndugu yangu ambaye anasafiri ya GREEN STAR akitokea mbeya wamekwama kupita Chalinze baada ya kukuta ajali iliyokutanisha gari ya mafuta na toyota ndogo.
Kuna majeruhi bado wanaendelea kutoa wengine zaidi waliobanwa chini ya gari.
Ntaendelea ku-update zaidi