Ajali nyingine mmh

Pale kbamba hua kuna kama ka mteremko flani ambako gar ikicheza kdogo unaloose control.. daah kama dreva alipona basi mungu mkubwa..
 
Mungu si mtu wewe!!!
 
Pale kbamba hua kuna kama ka mteremko flani ambako gar ikicheza kdogo unaloose control.. daah kama dreva alipona basi mungu mkubwa..
Ingekuwa spacio hapo ingekuwa chapati
 
Pabaya sana pale....
Baada ya kama siku 3 toka iilipotokea nilikutana na kijana mmiliki wa hilo lori ilikuwa ni gari yake ya kwaza alilikuwa akiipenda hataree ukiangalia hata hiyo cebin ilvyopambwa
Ajali ile ilitokana na na uzembe wa Suka kwani pale kuna tuta alilivaa akiwa speed likamshinda likabadili uelekeo na kuingia huko mtoni
 
Kuna moja ilitokea Kawe Bondeni pale darajani suka alikuwa speed akagonga kingo za daraja gari ikapinduka kisha ikakaa kwenye tawi la mti uliokuwa chini ya daraja na dereva alitoka salama,lakini sijui waliitoaje ile gari .... maana ilikaa juu ya mti kama imewekwa ukiangalia juu mbali chini mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…