Ajali njiapanda ya kilingeni

hahahah jamii forum kiboko watu wanazoom kalio na manyonyo hahahhaa,ila anafaa kwa mgegedo huyu chiboke.ashukuru ungo haujaangukia njiapanda ya masela gwelaa
 
Umeongea point ya maana sana hasa para ya kwanza
 
Hilo ni chezo tu hakuna mchawi hapo..
Mchungaji a!efanya deal ili kuvutia waumini wapya kanisani kwake ionekane ana nguvu ya kukamata wachawi.
 
Ulimwengu wa giza una mambo mengi..hiv hawana trafik wao?

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Ukimleta Kiranga hapa and co,
Utasikia hakuna kitu kama uchawi.
Mara oooh... prove kama huyu alikuwa akiruka angani.
Yaani hawa jamaa misuli ya shingo imekakamaa kwa ubishi.
Kiranga uko wapi? Njoo huku.

Kwani wewe una uhakika gani kama huyo ni mchawi kweli?
 
Kinachonipa wasiwasi ni kuwa wamemuweka nyuma ya defender na imefunikwa ndani ni giza, mbona ndio kama wanampa wayout huyo dada because wachawi na giza ni kama chai na mkate.. anapotea kilaini kabisa!!!!
 
Hachomoki police haiamini katika uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…