The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,587
Damu inatumika kidogo sana... Hawaanguki bali chombo hukosa nguvu na kurudi chini... Anguko halisi halizidi mita moja
Landing gear ili jam.
Kuna ndumba za aina yeyote ambazo zikifanyika mchawi aangukie chumbani kwangu?Ndio ataenda au utakamatwa kwakuwa Jamhuri haiamini katika uchawi na vilevile hakuna utambulisho wa mchawi
Hata mimi sijawahi kuona mtu anaanguka kutoka juu havunjiki hata kidoleNi kweli au unatania?
😀 😀 😀 😀Hio sio kachaniwa na wahuni wakati wanatafuta hirizi..[emoji23][emoji23][emoji23]
Nafikiri wanakuwa wametua na si kuanguka tatizo wanatua kwenye viwanja visivyo ruhusiwa kutuaNaomba kuuliza hivi inakuaje mchawi anaanguka na ungo, pia kama anaanguka nao kutoka juu mbona hua hawafi wala kuvunja hata miguu?
HobbyKwanini mtu aamue kuwa mchawi/mwanga ili kuwadhuru binadamu wenzie!?
Kuna faida gani ya kuwa mchawi/mwanga hadi mtu mwenye akili yake aamue kujiingiza huko?
[emoji15][emoji15][emoji15]
Mshana Jr
Ndiyo maana wanaume tunakufa mapema.Duuuh huo mtako n amshaaaaa.....napenda tako kubwa kama hilooooo....linanesanesa ....
Kama Airbus 350Aseeee! Sasa alivyo chibonge anapaaje na ungo.
hazard cfc uje umuone Chi chibonge wako.
Duuh!