Ajali Mwendokasi

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
13,149
6,989
Busi la mwwndokasi kutoka Morocco kwenda kimara,la mgonga Bodaboda,mpaka mda huu kuna foleni kubwa ya Mendokasi.
 
Daaah bodaboda ni wagumu kuelewa, kila siku wanaambiwa msipite kwenye Barabara za mabasi ya mwendo kasi hawasikii, dawa yao wakikamatwa wawe wanapelekwa mahakamani, wakifungwa ishirini tu watanyooka
 
Ni shida sana kwakwel.
Maana huyu mtu amekufa kifo kibaya sana.

Any way tuwe makini mwisho wa mwaka huu
 
Hapan yeye bodaboda ndo ameligonga bus la mwendokasi,sheria ndo inasema ivo.ila pole awe amepona
 
Back
Top Bottom