Ajali mwanza

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,578
Reaction score
2,471
Leo asubuhi Imetokea Ajali mbaya maeneo ya nyakato mwanza ikihusisha basi na lorry canter. RIP marehemu wote
 

Attachments

  • image.jpg
    389.5 KB · Views: 359
  • image.jpg
    540.2 KB · Views: 299
  • image.jpg
    510.2 KB · Views: 255
  • image.jpg
    459.5 KB · Views: 266
  • image.jpg
    454 KB · Views: 240
  • image.jpg
    456.3 KB · Views: 248
poleni sana kwa ajali...
 
Ilisababishwa na trafiki waliokuwa wanasimamisha magari eneo baya kiusalama. Walisimamisha malori kila upande (double parking) barabara ikawa finyu zaidi, as a result dereva wa lori la mchanga alipomalizana nao akataka kuondoka kumbe hakuona kama kuna basi ambalo halikusimamishwa limeshafika, mwenye basi akakosa pa kukwepea kwakuwa pande zote za barabara yamezuiwa malori. Ni uzembe wa polisi trafiki na tamaa ya kudakishwa popote barabarani ndiko kumegharimu maisha ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…