Ilisababishwa na trafiki waliokuwa wanasimamisha magari eneo baya kiusalama. Walisimamisha malori kila upande (double parking) barabara ikawa finyu zaidi, as a result dereva wa lori la mchanga alipomalizana nao akataka kuondoka kumbe hakuona kama kuna basi ambalo halikusimamishwa limeshafika, mwenye basi akakosa pa kukwepea kwakuwa pande zote za barabara yamezuiwa malori. Ni uzembe wa polisi trafiki na tamaa ya kudakishwa popote barabarani ndiko kumegharimu maisha ya watu.