Mzee wa site masaa yote yuko kwenye miradi, kusema kweli huu ndo utendaji unaotufaa. Badala ya kushinda airport ni mara mia ukashinda site kwa kushtukiza, inalipaaaaaaa.
kuna matatizo ya kimfumo na kero,sasa TANESCO ni tatizo la kimfumo hapa nchini,na kukatika kwa umeme ni kero sugu, nilikuwa nataka kujua ulikuwa unampongeza kwa kuzingatia kigezo cha uwepo wake site ama unakigezo binafsi?