AJALI: Msafara wa Waziri wa Nishati na Madini Prof
Sospeter Muhongo umepata ajali baada ya magari mawili kuacha njia katika Kijiji cha Kagorogoro Wilaya ya Kyerwa
Mkoani Kagera.
Hata hivyo hakuna majeruhi waliothibitishwa mpaka sasa na msafara huo ulikuwa unatoka mpaka wa Murongo
karibu na nchi jirani ya
Uganda.
Source: Mwananchi Online