Msafara wa Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo umepata ajali baada ya magari mawili kuacha njia katika Kijiji cha Kagorogoro Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera.
Hata hivyo hakuna majeruhi waliothibitishwa mpaka sasa na msafara huo ulikuwa unatoka mpaka wa Murongo karibu na nchi jirani ya Uganda.
AJALI: Msafara wa Waziri wa Nishati na Madini Prof
Sospeter Muhongo umepata ajali baada ya magari mawili kuacha njia katika Kijiji cha Kagorogoro Wilaya ya Kyerwa
Mkoani Kagera.
Hata hivyo hakuna majeruhi waliothibitishwa mpaka sasa na msafara huo ulikuwa unatoka mpaka wa Murongo
karibu na nchi jirani ya
Uganda.
Source: Mwananchi Online
hilo jipu linamhusu hata mtumbuaji wa majipu!Hivi kubana matumizi hakuendani na kupunguza Msururu wa Magari???
Rais ana msafari mkubwa kuliko viongozi wote serikalini..Anahusika vipi hapo????
Kwani yalikuwa magari mangapi kwenye huo msafara?Tupunguze misafara isiyo na tija, so tunabana matumizi ye anapwiyanga tu na msululu mrefu Wa ma V8