Bollo Yang
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 440
- 57
Taarifa nilizozipata hivi punde zinasema kwamba kuna ajali mbaya imetokea mchana huu mitaa ya Yombo-Temeke, ambapo dala dala moja imegongwa na Treni.
Idadi ya majeruhi na watu waliopeteza maisha haijathibitishwa...
ivi ni yombo au mitaa ya hapa chang'ombe?maana na hapa treni limegongana na daladala
mmmh treni tena? hapo sijui nani mwenye makosa! i hope there are no casualities!ivi ni yombo au mitaa ya hapa chang'ombe?maana na hapa treni limegongana na daladala
Taarifa nilizozipata hivi punde zinasema kwamba kuna ajali mbaya imetokea mchana huu mitaa ya Yombo-Temeke, ambapo dala dala moja imegongwa na Treni.
Idadi ya majeruhi na watu waliopeteza maisha haijathibitishwa...
Treni haiwezi kuligonga gari.Ni gari ndio limegonga treni au limekanyagwa na treni.Na hiyo ni haraka haraka za daladala kuwahi abiria
It is so obvious treni limegonga gari..unless iliacha njia, which i higly doubt!
Labda walikuwa wanajaribu mambo ya Fast and Furious!
Anyway, May God intervene in that situation, Amen!