Ajali mbaya yaua bodaboda Kahama

Ajali mbaya yaua bodaboda Kahama

wang'ambo

Senior Member
Joined
Nov 29, 2015
Posts
105
Reaction score
27
Habari wana JF imetokea ajali mbaya muda huu barabara kuu hapa Phantom Kahama mjini iliyohusisha bodaboda na Pickup nimechukua clip imenizingua ku upload nafanyeje?
 
Habari yako Haijajitosheleza kabsa.haujaeleza kama kuna aliyefariki au majerui!chanzo cha ajili,picha kusapoti habari e.t.c.
 
Unafanyaje kivipi? Yaani wewe interest yako ni namna ya ku upload?eti nafanyaje aisee wa bongo mtihani sana
 
Hao watakufa sana.kama elimu haitatolewa ya alama za sheria za barabarani.
 
Habari yako Haijajitosheleza kabsa.haujaeleza kama kuna aliyefariki au majerui!chanzo cha ajili,picha kusapoti habari e.t.c.

Ufikishaji habari umekuwa kama mashindano vile, mtu anaona akitulia na kuiandaa habari yake vema kabla hajaituma itakosa ladha, kumbe ni kama kupakua chakula kabla hakijaiva na kupeleka mezani then kila mtu anakosoa mapishi
 
Boda
Habari yako Haijajitosheleza kabsa.haujaeleza kama kuna aliyefariki au majerui!chanzo cha ajili,picha kusapoti habari e.t.c.
bodaboda ndio imekufa. hahahaaaa
 
Kwa hiyo dereva wa Bodaboda kapona ila bodaboda yake ndiyo imekufa
 
Kuna bodaboda mmoja alihamisha Scania nje ya kingo za barabara ilikuwa morogoro road ilikuwa imebeba magodoro alifia pale pale!

Hawa bodaboda sijui akili zao ni za namna gani wanakimbiza utadhani hawafiki bhana!!
 
Nakushauri chukua jitihada za kusaidia majeruhi na vyombo vya usafiri viwe salama, nakushauri ufiche aibu ya majeruhi ama Marehemu na kuwatafuta jamaa wa waathirika...

Aaah kumbe uliomba msaada wa kusambaza video yako DUNIA Ione....samahani
 
Habari wana JF imetokea ajali mbaya muda huu barabara kuu hapa Phantom Kahama mjini iliyohusisha bodaboda na Pickup nimechukua clip imenizingua ku upload nafanyeje?
Badala ya kusaidia wewe unachukua video ?
 
Habari wana JF imetokea ajali mbaya muda huu barabara kuu hapa Phantom Kahama mjini iliyohusisha bodaboda na Pickup nimechukua clip imenizingua ku upload nafanyeje?
Badala ya kusaidia wahanga,unahangaika kutuma clip duniani
 
Back
Top Bottom