Watanzania na hasa cc tunaosafiri mara kwa mara tuombe waendesha hii JF watuwekee jukwaa la kupeana habari juu ya vyombo vya ambavyo ANGALAU vina ahueni ya usalama maana hili janga la ajali halielekei kupatiwa ufumbuzi.
Serikali imelala
Sumatra wamelala
Trafic sitaki hata kuamini kama wapo.
Wenye mabasi nao dah!