Ajali mbaya Ubungo

Ajali mbaya Ubungo

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
image2.jpg
image1.jpg
image3.jpg

  • Picha ya kwanza Polisi amebeba kichwa cha mwanamke aliyekuwa mja mzito na kufa papo hapo kwa kiwiliwili kutenganishwa na kichwa ajali iliyotokea huko barabara ya Mandela iliyosababishwa na lori la mafuta.

  • Picha ya pili na tatu magari ambayo yaliharibiwa na lori la mafuta lililosababisha ajali huko Ubunge barabara ya mndela.
 
very sad! For those who dead, may GOD grant them eternal peace and those who were injured, get well soon!!!
 
Inasikitisha sana. Pamoja na taarifa mbalimbali za matukio haya mabaya, badala ya ajali kupungua zinaonekana kuzidi kuongezeka.

Mwenyezi Mungu Awarehemu Wote Walioangamia. Amina.

Steve Dii.
 
Juzi tu nlimwona Swaiba wangu Prosper na hyo gari yake nyekundu halafu leo ndo imekuwa skrepa namna hyo? Ee Mungu umponye haraka Prosper Alfred Mwakitalima na majeruh wote na pia Uwalaze pema pepon wote waliokufa.
 
Pole sana waliofikwa na matatizo.... na Mwenyezi mungu arehemu roho za marehemu
 
hapa duniani tu wapitaji...na kila wakati tukae mkao wa kuondoka ...nashangaa watu wanodhulume wenzao as if wana permanent life permit ya kuishi hapa duniani
 
Duh ilikuwa noma habari hizi nilizisoma kwenye magazeti,kipindi hiko JamiiForums nikiingia kama guest user na humu ndani mlikuwa na vichwa kweli kweli popoma alikuwa hatii pua
 
Poleni majeruhi na wafiwa. Naisoma ajali hii nikiwa safarini kutoka Moro kuja Dar. Eeh Mola mpe busara dereva wetu wa New Force na uilinde safari yetu tufike salama salmini, Ameen.
 
Back
Top Bottom