Ajali mbaya Traffic Light za njia panda ya Jet/Lumo

Ajali mbaya Traffic Light za njia panda ya Jet/Lumo

Elimu, elimu, elimu! Tunaangamia kwa kukosa maarifa.
uelewa mdogo wa matumizi ya barabara na hasa boda boda na baiskeli unatumaliza. Ebu angalia, zaidi ya 80% ya wanaopata ajali wanasema wakakuwa wanakwepa waendesha pikipiki!
 
Back
Top Bottom