Ajali Mbaya TAZARA Bakhresa

Ajali Mbaya TAZARA Bakhresa

NAMTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,939
Reaction score
600
Habari wapendwa katika Bwana

Kuna ajali imetokea Tazara karibia na mataa ya Tazara Bakhresa kuna binti amegongwa na Lori la mizigo. Kichwa chote kimesagika kwakuwa tairi zimepita kichwani hivyo kichwa kimetoka kabisa hivyo hajulikani. Polisi wamezuia kuchukua picha lakini alikuwa amevaa simpo nyeusi. Nguo hazitambuliki. Anaonekana kwa kukisia ni kama binti wa miaka 12-17 hivi.

Chanzo cha ajali alikuwa anajaribu kupanda daladala iliojaa kupita kiasi konda akamshusha kwalengo lakunguza abiria bahati mbaya akadondoka ndipo Lori likamkanyaga.
 
Oh alazwe mahali pema peponii..mhh imeniuma sana.
 
Oh maskin so sad. Ndo nimesikia kuna ajali nilikuwa napita hapo
 
Oh alazwe mahali pema peponii..mhh imeniuma sana.

Kondakta kafanya unyama sana. Ila sina uhakika kama kakamatwa. Nimeuliza washuhuda wamekosa majibu sahihi.
 
Habari wapendwa katika Bwana

Kuna ajali imetokea Tazara karibia na mataa ya Tazara Bakhresa kuna binti amegongwa na Lori la mizigo. Kichwa chote kimesagika kwakuwa tairi zimepita kichwani hivyo kichwa kimetoka kabisa hivyo hajulikani. Polisi wamezuia kuchukua picha lakini alikuwa amevaa simpo nyeusi. Nguo hazitambuliki. Anaonekana kwa kukisia ni kama binti wa miaka 12-17 hivi.

Chanzo cha ajali alikuwa anajaribu kupanda daladala iliojaa kupita kiasi konda akamshusha kwalengo lakunguza abiria bahati mbaya akadondoka ndipo Lori likamkanyaga.

unataka kumtetea konda .huwa wanatabia ya kusukuma watoto
 
Kondakta kafanya unyama sana. Ila sina uhakika kama kakamatwa. Nimeuliza washuhuda wamekosa majibu sahihi.

Pole kwa wafiwa,
inasikitisha sana
Kuna kosa kwa dereva wa daladala hasa katika kupark hiyo daladala, lakn pia kwa konda ambaye aliamua kumshusha abiria sehemu isiyo stahili.
Wananchi hususan mashuhuda wa ajali hiyo wanaweza wakawa na walau chanzo kizuri cha kuikamata hiyo daladala ingawa kwa kweli si kawaida ya watanzania kunakiri namba za magari.
 
Inasikitisha sana daaaaa hawa makonda mbona hawajali sheria za usalama barabarani na abiria? We belong to god and to him we shall return.
 
Ukweli kipindi nikiwa nimepanda daladala na kukaa karibu na mlango, huwa napata tabu sana nikiwashuhudia wanawake wakiwa wanapanda au kushuka, wanakuwaga wapo sleki sleki sana na ukizingatia madereva wengi wameranduka. RIP Dada.
 
Ila makonda wamezidi kuasukuma wanafunzi nahisi alijua mwanafunzi dah, R. I. P
 
Konda achukuliwe hatua kwanini amfanyie dogo unyama kama huo na kumsababishia kifo, pole sana waliopatwa na msiba. Mtoto amaeamka salama kwenda shuleni jioni wazazi wanaletewa taarifa binti yao amepoteza maisha inasikitisha kwa kweli
 
Pole kwa wafiwa,
inasikitisha sana
Kuna kosa kwa dereva wa daladala hasa katika kupark hiyo daladala, lakn pia kwa konda ambaye aliamua kumshusha abiria sehemu isiyo stahili.
Wananchi hususan mashuhuda wa ajali hiyo wanaweza wakawa na walau chanzo kizuri cha kuikamata hiyo daladala ingawa kwa kweli si kawaida ya watanzania kunakiri namba za magari.
Huyu dereva wa Lori hakusimama kabisa na huyu wa daladala hakusimama pia kwakuwa magari yalikuwa yameruhusiwa kwenye taa. Ndg watakaopotelewa na binti waende buguruni polisi kwa taarifa zaidi labda atakuwa ndugu yao. Pia kitu pekee chakumtambua marehemu labda mavazi maana kichwa hakipo kabisa yaani kama kachinjwa vile.
 
Konda achukuliwe hatua kwanini amfanyie dogo unyama kama huo na kumsababishia kifo, pole sana waliopatwa na msiba. Mtoto amaeamka salama kwenda shuleni jioni wazazi wanaletewa taarifa binti yao amepoteza maisha inasikitisha kwa kweli

Mimi nazani kama kuna abiria alikuwepo kwwnye hiyo daladala na anasoma Uzi huu na aliona hilo tukio muwakamate haraka sana hao wahusika kondakta na dereva wapelekwe polisi. Pia hata hilo Lori naamini kwa foleni ya Mandela road hata Ubungo halijafika kama kuna washuhuda wanalikumbuka Lori walifukuzie na bodaboda watalikamata.
 
Umenena mkuu.
 
REQUIEM:

Pumziko la Milele umpe ee Bwana, Na mwanga wa Milele umwaangazie, apumzike kwa amani...

Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, Wapumzike kwa amani. Amina
 
Pole kwa wafiwa,
inasikitisha sana
Kuna kosa kwa dereva wa daladala hasa katika kupark hiyo daladala, lakn pia kwa konda ambaye aliamua kumshusha abiria sehemu isiyo stahili.
Wananchi hususan mashuhuda wa ajali hiyo wanaweza wakawa na walau chanzo kizuri cha kuikamata hiyo daladala ingawa kwa kweli si kawaida ya watanzania kunakiri namba za magari.
Hata wakinakiri bado huwa hawajitokezi kutoa ushahidi unless kama ushahidi ungekuwa unatolewa bila kuonekana, ndo zetu hizi watz huruma machoni lakini ikifika kwenye kukamilisha zoezi ili huruma yako imsaidie mhusika unaogopa kutoa ushahidi. RIP mdada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom