Ajali Mbaya Sana. Msaada Tafadhali.

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,154
5,680
cdcf132ce384e56b8958cc4c93792fa6.jpg
 
Kuna yule aliyejirekodi mpka akafariki
Mmarekani hivi et
Yupo
""Look OMG something black is coming i see it
Meeeen am going to die O lord am comin
Please share this on my instagram""
hata hajataja user name mchizibot akakata kamba....na simu ikawa giza kama 1Hr hv mara anakuja mtu anamwamsha dah wanaanza kulia hapa bado simu ipo giza haionyeshi kitu...wanasikika watu wakisema he is gone !..Oh God
 
Dah, very sad aisee. Hizi simu zimewaharibu wengi kwa kweli.
 
Jana nilikuwa kliniki ya Moyo, JKCI basi kuna jamaa aliandikiwa Kufanyiwa vipimo vya ECG na ECHO!
Inaonesha wakati akifanyiwa hivyo vipimo mke wake alikuwa ana piga picha. Baadaye akaanza kurusha kwenye 'social media'
 
Ni kweli kama kumbukumbu ila kwa upande mwengine ni kama ulimbukeni flani hivi. Khaaaa.
 
Kuna mama alikuwa anapiga mwili wa marehemu ukiandaliwa kwa ajili ya maziko.

Watu wanatoa wapi hizi tabia za kufanya kila kitu cha kuonwa na public
 
Yaani, acha tu kwa kweli. Labda kama ni kwa ajili ya kufundishia hapo sawa ila kama ni show off itakuwa sio mzima huyo kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom