Ajali mbaya Sam Nujoma

Ajali mbaya Sam Nujoma

Haya Matokeo ya form four yamewaathiri hata watu wazima
 
  • Thanks
Reactions: tz1
mhh mbona tena mnamshambuliana mtoa mada? Tena mnahama mada kabisa? Mtoa mada katoa taarifa kwa kadri ya alichokiona na kufikiri namna ya kutushirikisha. Hakulazimishwa wala hakuna SOPs ya namna/jinsi ya kupost JF. Yupo grieved and unstable at least emotionally kwa situation alioiona

Kama unaona hujaridhika na maelezo nenda pale kwenye eneo la tukio/ajali ukapate details,

mambo kama ohh wewe ni form form wa mwaka jana, mara unakimbizwa kupost oooh sijui nini kwangu mimi naona ni udhalilishaji yenye mwelekeo wa kuminya uhuru wa mtu kujieleza and its against the very founding core principle ya JF.

Kwa ufupi tuache kabisa mambo haya kila mtu apost kadri anavyoona inafaa kufikisha ujumbe. Kama hujaelewa mada au post unaweze kuuliza kistaarabu for clarification or additional info lakini matusi na kejeli ni kujishushia heshima na kuwafanya watu ku-discourage watu wengine kupost na matokeo yake JF itakuwa itapoteza ile sifa yake ya kuwa ya kwanza kupata habari na matukio mbalimbali.

Hope msg imeeleweka jako nimeandika kwa kirefu na mniwie radhi plz
 
Jamani tujaribu kuwa waungwana,unapopata habari kam hiyo, jaribu na wewe kutoa habari na sio kuponda tu pasipo kuwa na msingi,ni swala la kumshukuru mtoa habari kisha nawe uzidi kufatilia habari hiyo katika vyanzo vingine kaa hujaridhika na taarifa yake,nadhani hiyo ni njia pekee ya kutakakujua jambo kiundani zaidi,na sio kuishia kuponda tu,maana wote tunafahamu mazingira ya ajali yanvyokuwaga,watu hupata mshituko
hataukitizama breaking news kwa mara ya kwanza huwa ni habari ambayo haija haririwa ,so kwa upande wangu mtoa taarifa yupo sahihi tu hapo hakuna cha form four wala form six.
 
Kuna ajali mbaya imetokea Sam Nujoma karibu kabisa na jengo la mawasiliano. Gari moja zimehusika moja kwa hakika ikiwa na gari ya abiria. Najaribu kutafuta habari zaidi na mwanya wa picha. Hope Mungu amelinda uhai. Poleni sana wanandugu

bado dk 5 tufikie mchana, na wewe umerusha habari yako saa mbili. hujapata ppicha za tukio?
 
ukisoma posts za watu huku jf unajifunza mengi sana, kwanza kua tuko tofauti sana hasa ktk kuchukulia uzito wa mambo..................................
 
Ile dala dala imeniacha ubungo halafu nikapanda ya nyuma yake. Nimeshangaa kuikuta imelala barabarani huku bado inanguruma. Ilikuwa imejaa sana sana na pengine ikawa imeua watu wengi sana.
kwa hiyo unasema ni mungu kakuepusha !!1katoe ushuhuda kanisani
 
Jamani tujaribu kuwa waungwana,unapopata habari kam hiyo, jaribu na wewe kutoa habari na sio kuponda tu pasipo kuwa na msingi,ni swala la kumshukuru mtoa habari kisha nawe uzidi kufatilia habari hiyo katika vyanzo vingine kaa hujaridhika na taarifa yake,nadhani hiyo ni njia pekee ya kutakakujua jambo kiundani zaidi,na sio kuishia kuponda tu,maana wote tunafahamu mazingira ya ajali yanvyokuwaga,watu hupata mshituko
hataukitizama breaking news kwa mara ya kwanza huwa ni habari ambayo haija haririwa ,so kwa upande wangu mtoa taarifa yupo sahihi tu hapo hakuna cha form four wala form six.
kuna nini chakushukuru ulichokiona hapo juuu????umeelewa nini mtu anaandika habari kama kakamatwa ugoni vile mtu hajasema ni magari ya aina gani yamegongana ,chanzo cha ajali!!ninini wamekufa watu au la wamenusurika au la ,majeruhi au la wewe unatetea unadhani wote tunakaa pande za huko wwewe mtu wa gongolambota atapataje hiyo khabari .kaandika utumo tu fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kaka, usimlaumu. Ndio nchi ilipofika. Rejea matokeo ya form four ya mwaka 2012. Hao waliopata zero ndio wachangiaji wa JF.


raia wa kawaida ukiona ajali inayoshtua lazima utapata hamaki, so kuandika ujumbe ukiwa kwenye hamaki sio ajabu kukosea kosea. wacha dharau


 
bado kuna watu hawaelewi UBUNGO IKO UPANDE GANI MWA DAR ES SALAAM

Sasa mkuu sijaelewa kuwa watu weng wanaokuja dar wanakuja kwa bas or ndege, akir za kuambiwa changanya na zako

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hata hueleweki.

Mchakamchaka uliniboa sana jana. Siku nyingine changia mada kwanza then ukosoe kwenye sentence 2 za mwisho kumbuka vikosa viwili kwenye mshtuko kama ule ni jambo la kawaida sana. Tulikuwa tunaokoa sikuweza piga picha ktk hali ile ubinadamu unatawala zaidi. Kuhusu kufaulu mwanangu nina one kali form 4, one kali form 6 na upper second mlimani, na manager wa company yenye heshima hapa jijini. Sitaki kujisifia ila inabidi kuondoa kashfa. Mimi siyo yeboyebo baba!
 
Back
Top Bottom