Ajali mbaya Sam Nujoma

Ajali mbaya Sam Nujoma

Kuna ajali mbaya imetokea Sam Nujoma karibu kabisa na jengo la mawasiliano. Gari mbili zimehusika moja kwa hakika ikiwa ni gari ya abiria. Najaribu kutafuta habari zaidi na mwanya wa picha. Hope Mungu amelinda uhai. Poleni sana wanandugu

Pole kwa waliohusika na ajali...umeripoti na umeeleweka vyema.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom