Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Kuna ajali mbaya imetokea Sam Nujoma karibu kabisa na jengo la mawasiliano. Gari mbili zimehusika moja kwa hakika ikiwa ni gari ya abiria. Najaribu kutafuta habari zaidi na mwanya wa picha. Hope Mungu amelinda uhai. Poleni sana wanandugu