frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,099
- 1,338
kuna ajali kubwa hapa, fuso mbili moja limeanguka juu chini, lingine lilochomekea mwenzake limetimuka na bodaboda iloyaingilia imepondwa sanaaaa, pls police nendeni pale mkasaidie njia ipanuke kwani kuna foleni balaa, pia nyuma ya hapo mtava kuna gari la azania lilobeba mpunga limeanguka pia watu wanazoa mpunga askar anawatishia na gobole yan tbc taifa napo kuna ajali yani leo sijui kama nitafika kwangu salama.