Ajali mbaya Quality Plaza...

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,337
kuna ajali kubwa hapa, fuso mbili moja limeanguka juu chini, lingine lilochomekea mwenzake limetimuka na bodaboda iloyaingilia imepondwa sanaaaa, pls police nendeni pale mkasaidie njia ipanuke kwani kuna foleni balaa, pia nyuma ya hapo mtava kuna gari la azania lilobeba mpunga limeanguka pia watu wanazoa mpunga askar anawatishia na gobole yan tbc taifa napo kuna ajali yani leo sijui kama nitafika kwangu salama.
 
kuna ajari kubwa hapa, fuso mbili moja limekura juu chini, lingine limetimuka na bodaboda imepondwa sanaaaa, pls police nendeni pale mkasaidie njia ipanule kwani kuna foleni balah, pia mtava kuna gari la azania limeanguka pia watu wanazoa mpunga askar anawatishia na gobole yan tbc taifa napo kuna ajari yani leo sijui kama nitafika kwangu salama.
The vampires are killing people ...May the blood of Jesus overpower them.
 
kuna ajari kubwa hapa, fuso mbili moja limekura juu chini, lingine limetimuka na bodaboda imepondwa sanaaaa, pls police nendeni pale mkasaidie njia ipanule kwani kuna foleni balah, pia mtava kuna gari la azania limeanguka pia watu wanazoa mpunga askar anawatishia na gobole yan tbc taifa napo kuna ajari yani leo sijui kama nitafika kwangu salama.

unaleta habari nzito za ajali huku unaweka maskhara, eti lori "limetimka na bodaboda", hata hueleweki!
 
Magari yanapinduka katikati ya mji kwani mjini wanaendesha speed kama wako nje ya mji.
 
kuna ajari kubwa hapa, fuso mbili moja limekura juu chini, lingine limetimuka na bodaboda imepondwa sanaaaa, pls police nendeni pale mkasaidie njia ipanule kwani kuna foleni balah, pia mtava kuna gari la azania limeanguka pia watu wanazoa mpunga askar anawatishia na gobole yan tbc taifa napo kuna ajari yani leo sijui kama nitafika kwangu salama.

...!!! nina jisikia hamu ya kusema WEKA PICHA ...!!!
 
una elkopta nn? mbona umetaja maeneo mengi kwa wakati mmoja wakati unalalamika kuna folen????????
 
kuna ajari kubwa hapa, fuso mbili moja limekura juu chini, lingine limetimuka na bodaboda imepondwa sanaaaa, pls police nendeni pale mkasaidie njia ipanule kwani kuna foleni balah, pia mtava kuna gari la azania limeanguka pia watu wanazoa mpunga askar anawatishia na gobole yan tbc taifa napo kuna ajari yani leo sijui kama nitafika kwangu salama.

Weka picha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom