Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,300
Madereva waliona leseni za magumashi wapo wengi huko. Mjomba ananunua Noah halafu anatafuta leseni ya mitaani na kumkabidhi mupwae kazi inaanza!Jamani Singida kuna nini kila cku ajali leo 13 wamechinjwa
sasa hizi ajari zimezidi jamani hawa madreva wana nini??tunakuja kuizidi hata kenya!!kwani huko ndio ajari zinaongoza.
Ajal ni habar ilozoeleka now
Juzi kafa Faru mmoja waziri kajitokeza kwenye vyombo vya habari na kupinga vikali sana + mbinu zingine ili faru wasife tena....
Haya leo binadamu wenzetu wamechinjwa kama kuku na magari/roho za watu wasio hata na hatia zimetoka, sasa waziri mkuu au waziri husika ajitokeze na leo sasa???
Mungu awape faraja wanasingida,wafiwa na waTz woote!!!
____R. I. P_mliotangulia mbele za haki...