Ajali mbaya Mbezi Luguruni mida hii

Allah awape wepesi watoke salama mapema
 
Mzee wa mate mboni unasifu na kuabudu mambo ya ajali watu wameumia wamekufa unajua

Unakuta watu wanapanga bidhaa barabarani halafu hawawezeshwi na serikali yao kujikwamua kutoka barabarani. Na bado yanachagua CCM. Yafe tu hadi akili zirudi
 
Pale LUGURUNI Pana taa za kuongoza gari,je ni Lori lilisimama ghafla au dereva wa school bus hakuzingatia mataa?
 
Wapi huko
 
Sikuamini, picha ziko wapi.....ikiwezekana tuwekee na majeruhi pia.
 
Bado hujafika tu ili utuletee picha kama ulivyotoa ahadi? Punguza mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…