Kwahyo unataja idadi ya majeruhi kwa habari za kuambiwa? Poleni wote mliofikwa na janga hiloHabari za muda huu, kuna habari mbaya ajali kimetokea Mbezi Luguruni jirani kabisa na ofisi ya mkuu wa wilaya ya ubungo, mida hii school bus limelikwepa gari ya mizigo iliyosimama ghafla KWENYE mataa na kuwagonga wa fanya biashara na bodaboda na bajaj, hivi natokea mloganzila walipoletwa majeruhi kama kumi habari na picha njtawaletea ikifika Luguruni..
Duuhschool bus limelikwepa gari ya mizigo iliyosimama ghafla KWENYE mataa na kuwagonga wa fanya biashara na bodaboda na bajaj,
School bus limegonga ndio maana wanaambiwa wakae mbali na barabara sababu ila acha nisiongeeDuh poleni nyotee
Uchaguzi huu ccm watatumalizaHabari za muda huu, kuna habari mbaya ajali kimetokea Mbezi Luguruni jirani kabisa na ofisi ya mkuu wa wilaya ya ubungo, mida hii school bus limelikwepa gari ya mizigo iliyosimama ghafla KWENYE mataa na kuwagonga wa fanya biashara na bodaboda na bajaj, hivi natokea mloganzila walipoletwa majeruhi kama kumi habari na picha njtawaletea ikifika Luguruni..
Kwahyo unataja idadi ya majeruhi kwa habari za kuambiwa? Poleni wote mliofikwa na janga hilo
Kama upo jirani njoo tusaidie hapa mloganzila kwanza alafu twende tukajue idadi kuleKwahyo unataja idadi ya majeruhi kwa habari za kuambiwa? Poleni wote mliofikwa na janga hilo
kwani akitaja idadi ya majeruhi anakuwa kavunja sheria gani?ushakalilishwa kuongopewa kila kitu, au serikali tu ndio yenye wajibu wakutaji idadi ya wahanga wa kila tukio? EtiKwahyo unataja idadi ya majeruhi kwa habari za kuambiwa? Poleni wote mliofikwa na janga hilo
Soma vizuri, tàtizo siyo mwisho wa mwaka, ni lori lililosimama ghafla.Aisee, mwisho wa mwaka huu natoa pole kwa wahanga🥺
Subiri hapo hapo nakata gogo nakujaukimani kufa ni kugusa. ajali zembe za kumwaga. pumbavu sana