Ajali mbaya maeneo ya Luguruni, Ubungo

Hawa madereva wa malori ya mchanga ni ******* sana hua wanajiona Ile migari haiwezi pata ajari wakaumia walishanikosa kosa sana barabarani kwa ubabe tu sasa R.I.P kwa wale tu kwenye daladala ila hao gari la mchanga waende motoni shenzi zao hao
huwezi kujua chanzo cha ajari, huenda kuna bodaboda alikatiza akasababisha yote hayo.
 
Hawa madereva wa malori ya mchanga ni ******* sana hua wanajiona Ile migari haiwezi pata ajari wakaumia walishanikosa kosa sana barabarani kwa ubabe tu sasa R.I.P kwa wale tu kwenye daladala ila hao gari la mchanga waende motoni shenzi zao hao
Kuna hawa wenzao wanaopakia cement njia ya Mji Mwema mpaka Kimbiji. ******* sana pia.
 
Hawa madereva wa malori ya mchanga ni ******* sana hua wanajiona Ile migari haiwezi pata ajari wakaumia walishanikosa kosa sana barabarani kwa ubabe tu sasa R.I.P kwa wale tu kwenye daladala ila hao gari la mchanga waende motoni shenzi zao hao
Punguza hasira kiongozi! Tambua kwanza chanzo cha hiyo ajali..
 
Siyo magari ya mchanga tu...hii barabara inachinja kila kukicha lakini sioni jitihada zozote kupunguza au kuzuia ajali...barabara ni pana haina kuta za kutenganisha njia na hata taa za barabarani ...njia za wavuka kwa miguu haziheshimiwi kiukweli hakuna siku inapita bila mtu kuuawa hii ni hatari.something must be done
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…