Ajali mbaya maeneo ya Luguruni, Ubungo

Ajali mbaya maeneo ya Luguruni, Ubungo

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,197
Reaction score
19,462
Lori la mchanga limegonga daladala ya abiria inayofanya safari zake kati ya Mbezi Mwisho na Morogoro.

Kuna majeruhi kadhaa na vifo kadhaa.

View attachment 2068895View attachment 2068896View attachment 2068899View attachment 2068897View attachment 2068898View attachment 2068900View attachment 2068901View attachment 2068902
IMG_20220105_062933.jpg
 
Hawa madereva wa malori ya mchanga ni wasenge sana hua wanajiona Ile migari haiwezi pata ajari wakaumia walishanikosa kosa sana barabarani kwa ubabe tu sasa R.I.P kwa wale tu kwenye daladala ila hao gari la mchanga waende motoni shenzi zao hao
huwezi kujua chanzo cha ajari, huenda kuna bodaboda alikatiza akasababisha yote hayo.
 
Hawa madereva wa malori ya mchanga ni wasenge sana hua wanajiona Ile migari haiwezi pata ajari wakaumia walishanikosa kosa sana barabarani kwa ubabe tu sasa R.I.P kwa wale tu kwenye daladala ila hao gari la mchanga waende motoni shenzi zao hao
Kuna hawa wenzao wanaopakia cement njia ya Mji Mwema mpaka Kimbiji. Wasenge sana pia.
 
Hawa madereva wa malori ya mchanga ni wasenge sana hua wanajiona Ile migari haiwezi pata ajari wakaumia walishanikosa kosa sana barabarani kwa ubabe tu sasa R.I.P kwa wale tu kwenye daladala ila hao gari la mchanga waende motoni shenzi zao hao
Punguza hasira kiongozi! Tambua kwanza chanzo cha hiyo ajali..
 
Siyo magari ya mchanga tu...hii barabara inachinja kila kukicha lakini sioni jitihada zozote kupunguza au kuzuia ajali...barabara ni pana haina kuta za kutenganisha njia na hata taa za barabarani ...njia za wavuka kwa miguu haziheshimiwi kiukweli hakuna siku inapita bila mtu kuuawa hii ni hatari.something must be done
 
Back
Top Bottom