Inasikitisha sana! Mind you, ajali hizi hazisababishwi na ufinyu wa bara bara ila tabia yetu ya kutokufuata sheria na rushwa kubwa iliyojaa kila sehemu! Hata Ulaya pamoja na kuwa na bara bara nyingi nzuri, lakini kuna zingine finyu sana na magari yanapishana ila ni nadra sana kuwa na ajali za aina hii tena magari ni mengi zaidi kuliko bongo! Ishu kubwa hapa ni sheria kufuatwa na rushwa kwa polisi wa usalama bara barani!Wananchi wa Tanzania wanapoteza maisha kila siku katika barabara zetu kwa sababu ya uwembamba wa barabara. Kinachosikitisha ni kwamba hakuna jitihada zinazoonekana zaidi ya kuchora nyumba kwa Alama X, za kutuepusha na dhahama hii. Naendelea kuamini kwamba tunahitaji mabadiliko ya uongozi wa kisiasa nchini. Wazee wanavurunda kwa kufanya kazi kwa mazoea na kujuana.
costa iliyokuwa ikitoka moro kwenda dar paa lake lote limefumulia na ndio maiti nyingi zilipotolewa na kupelekwa tumbi.nitawajuza zaidi.
Hivi huwa mnashindana kuwa wa kwanza kukomenti?nn hicho sasa?mungu awapunzishe waliofariki na hawa onyeshe haraka walijeluhiwa..inshallah
Ajali imetokea maeneo ya kwa mbonde baina ya coasta mbili za abiria jioni hii. Takribani watu zaidi 10 wamekufa palepale maiti na damu nyingh sana. Nimeshuhudia.
Wananchi wa Tanzania wanapoteza maisha kila siku katika barabara zetu kwa sababu ya uwembamba wa barabara. Kinachosikitisha ni kwamba hakuna jitihada zinazoonekana zaidi ya kuchora nyumba kwa Alama X, za kutuepusha na dhahama hii. Naendelea kuamini kwamba tunahitaji mabadiliko ya uongozi wa kisiasa nchini. Wazee wanavurunda kwa kufanya kazi kwa mazoea na kujuana.