macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,279
- 56,980
Ndiyo unagundua leo hasa kwa nchi kama Tanzania ambayo viongozi na wananchi waliashaamua kuwa vifo vya uzembe ni ruksa?Nimegundua hakuna mwenye uhakika na maisha, yan gari imetoka upende mwingine imeenda kuua upande mwingine pamoja na kwamba kuna mawe makubwa ya kuzuia gari kuvuka