Ajali mbaya Kilwa road

Ajali mbaya Kilwa road

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,406
Reaction score
2,413
250402181916829.JPG
gari kubwa lililobeba mbolea limehama njia na kuingia upande wa pili.
Eneo la Mbagala .
Wawili wahofiwa kupoteza maisha wakiwa kwenye bajaji
 
 
Poleni kwa wahanga.Hao kwenye bajaji sijui wana hali gani.Sipati picha hivyo viroba vingekua vya sukari.
 
Back
Top Bottom