Inasikitisha sana. Hawa madereva wa malori mara nyingi wanakuwa wazembe na wengine wanakuwa wamechoka mno na hata kusinzia barabarani. Pole sana kwa wafiwa na majeruhi.
Mpango wa Kujenga dabo rodi mpaka Mlandizi hupo zaidi ya miaka kumi! mpaka leo hupo kwenye makabrasha! inashangaza sana hakuna zaidi 40km pale hii njia ndo main exit ya Jiji la DSM na ndo inaunnganisha mikoa mingi ya TZ! but Bongo zaidi ya huijuavyo! Poleni Wahanga!duh. Mungu atunusuru na haya masahibu. Naomba kuuliza: kwa nini serikali isifanye hiyo barabara kuwa 'double road'? barabara ni nyembamba na haitoi 'room' ya kuovateki na mengine yanayofanana na hayo. Nyingi ya Barabara za Tanzania zimekaa kijima jima na haziendani na kukidhi ongezeko la watu na magari.
Mpango wa Kujenga dabo rodi mpaka Mlandizi hupo zaidi ya miaka kumi! mpaka leo hupo kwenye makabrasha! inashangaza sana hakuna zaidi 40km pale hii njia ndo main exit ya Jiji la DSM na ndo inaunnganisha mikoa mingi ya TZ! but Bongo zaidi ya huijuavyo! Poleni Wahanga!