Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Poleni majeruhi wote.Marehemu walazwe mahali pema peponi. Amina
basi hilo lilikua linatokea Dar kwenda Kahama, dereva alikuwa anaovertake roli akakutana uso kwa uso na lory lilokuwa limesheheni mbao.
Takriban watu wawili wamefariki papo hapo na majeruh wengi tu wamekatika viungo vyao.
Source: Mimi mwenyewe safarini Kagera
pole sana kwa mawazo mgando,kuna shida gani mimi kutaja mahali ninapoelekea?
dreva na konda wamefia hospita ya mkoa singida na watu wengi 24 waliumia vibaya sana. dreva alilivaa roli lililokua limepaki barabarani. poleni wafiwa na majeruhi wote. mia
ilikua jana mchana. ilikua ikitokea dar kwenda kahama!. miaLini?.....
Ndo ujue nchi hii madereva hakuna, yaani lori limepark barabarani halafu dereva wa basi analivaa hilo lori mchana kweupe..!dreva na konda wamefia hospita ya mkoa singida na watu wengi 24 waliumia vibaya sana. dreva alilivaa roli lililokua limepaki barabarani. poleni wafiwa na majeruhi wote. mia
angepona ningeshauri afutiwe leseni kwa kusababisha ajali ya kizembe namna hiiNdo ujue nchi hii madereva hakuna, yaani lori limepark barabarani halafu dereva wa basi analivaa hilo lori mchana kweupe..!
Ndo ujue nchi hii madereva hakuna, yaani lori limepark barabarani halafu dereva wa basi analivaa hilo lori mchana kweupe..!