vengu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 740
- 536
basi hilo lilikua linatokea Dar kwenda Kahama, dereva alikuwa anaovertake roli akakutana uso kwa uso na lory lilokuwa limesheheni mbao.
Takriban watu wawili wamefariki papo hapo na majeruh wengi tu wamekatika viungo vyao.
Source: Mimi mwenyewe safarini Kagera
Takriban watu wawili wamefariki papo hapo na majeruh wengi tu wamekatika viungo vyao.
Source: Mimi mwenyewe safarini Kagera
dreva na konda wamefia hospita ya mkoa singida na watu wengi 24 waliumia vibaya sana. dreva alilivaa roli lililokua limepaki barabarani. poleni wafiwa na majeruhi wote. mia