Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,002
- 5,536
Ajali yatokea Ruvu muda huu ikihusisha magari mawili aina ya scania huku moja likiwa la kubeba mafuta na jingine la kubeba mizigo ya kawaida. Dereva wa lori la mizigo ya kawaida pamoja na waliopo wote wamepoteza maisha papo hapo.
Chanzo ni mwendo kasi na kuovertake.