Ajali mbaya imetokea eneo la Bugorora Kyaka leo, inahusisha Basi la kampuni ya Sabuni lililokuwa likitokea Karagwe na Land Cruiser ya Kanisa.
Taarifa za hawali zinasema watu si chini ya watano wamepoteza maisha kwenye eneo la tukio.
Ah kazi ya mungu hiyo bana.
Haina makosa kabisa.
Wapumzike Kwa Amani.Very sad indeed. Mimi nimeisikia leo kwenye misa ya asubuhi kanisani. May their Souls RIP.
Pole sana Mkuu, umesoma Katoke Seminary?Padri Michael Mwelinde, alikuwa mwalimu wangu wa kilatini huyu. Yeye pamoja na marehemu wote walazwe pema peponi!