Leo ajali kibao tu, ila JF naona wadau wamechuna kutupa updates... Jirani na Kibaha kwa mfano muda huu saa tatu usiku canter na gari dogo zimekulana, source mimi. Kidinilo na Shabiby wamefanya yao pia. Is it JF be the first to know anymore?