Hilo si tatizo umwambie umemkumbuka sana Miss World ambaye ulikuwa unaitazama picha yake mchana huo,na kuwa mnafanana kweli kweli.
Mwambie tu ulimi hauna mfupa,akikazana zaidi...mwambie mwanamke niliyomtaja umekutana naye leo anasema anakufahamu na huwa anakukuta sehemu fulani ...so najribu kufikiria hili si amini, kwani huwa unaenda sehemu gani iliyojificha? then muone atakvyobadilika ghafla!
hii ni balaa, nakumbuka nilimtoa out my ex years ago kumbembeleza baada ya kuhusi nina mahusiano na co worker wake,nikiwa nimeshajieleza vya kutosha na kuanza kueleweka alitokea rafiki yangu damu na kumwita kwa jina la yule aliyekuwa anamuhisi..wee paligeuka uwanjwa wa mapambano kwa muda...ni balaa
Ha ha ha Kitey tey u sound like my friend.... LOLhii ni balaa, nakumbuka nilimtoa out my ex years ago kumbembeleza baada ya kuhusi nina mahusiano na co worker wake,nikiwa nimeshajieleza vya kutosha na kuanza kueleweka alitokea rafiki yangu damu na kumwita kwa jina la yule aliyekuwa anamuhisi..wee paligeuka uwanjwa wa mapambano kwa muda...ni balaa
Mh! hiyo ni soo maana hata ingekuwa kunyume chake. Yaani after majambo - unaskia leo Joe uminifikisha mlima njaro!! wakati wewe unaitwa Mike na ulikuwa una msuspect Joe kuwa unakuibia