Naunga mkono hojaDaah hawa Madereva wa bus ni hatari sana huwa hawaoni hatari mbele yao wanakua mwendokasi na hawaogopi gari yeyote iliyo mbele yao na wana makadirio kidogo sana ukiwa na gari ndogo ni rahisi kusubiri lipite ila sio gari kubwa...inatakiwa iwepo fine kubwa kwa Bus linasobabisha ajali hata kuwalipa wahanga kama Zambia au Zimbabwe huo upuuzi utapungua sana..
Subiria mwaka uisheMbona tutaogopa hata kusafiri asee🤔
Halafu v8 tutanunua na niniTuna uwezo kabisa wa kuwa na njia mbili kwa barabara zote kuu zinazounganisha mikoa yote. Ni vipaumbele vya serikali tu ni vibaya.
Zambia au Zimbabwe bus zinavyopata ajali hapa Tanzania kule utakimbia Kampuni yako maana gharama za Hospital zote zipo juu yako bado uwalipe tena hapa wahanga wanajiudumia wenyewe ndio maana kila kukicha ajali za kijinga jinga harafu utasikia sijui Kampuni fulani imefungiwa hakuna kitu inatakiwa Watoe pesa kwa Wahanga na Bima zao zifanye kazi kwa walioumia huu upuuzi wa ajali za bus kugonga Fusso tutazisikia kwa nadra sana...Naunga mkono hoja
Da. Nilisahau...Halafu v8 tutanunua na nini
Hapanazinatokea sana, ni kwamba mwisho wa mwaka mambo yanakuzwa
februari kuna gari ya frester iliua 12, na kujeruhi 63, uliskia?
Absolutely 100%Nothing is permanent....
Wahanga wa ajali huwa wanalipwa na bimaZambia au Zimbabwe bus zinavyopata ajali hapa Tanzania kule utakimbia Kampuni yako maana gharama za Hospital zote zipo juu yako bado uwalipe tena hapa wahanga wanajiudumia wenyewe ndio maana kila kukicha ajali za kijinga jinga harafu utasikia sijui Kampuni fulani imefungiwa hakuna kitu inatakiwa Watoe pesa kwa Wahanga na Bima zao zifanye kazi kwa walioumia huu upuuzi wa ajali za bus kugonga Fusso tutazisikia kwa nadra sana...
Wanalipwa kiasi gani mkuu ili nifananishe na malipo ya sehemu zingine tunazotembea...Wahanga wa ajali huwa wanalipwa na bima