mizigo mikoa yote
Member
- Dec 2, 2023
- 19
- 28
Nothing is permanent....Tutakwisha sana aisee...
Kumbe body za basi za Asia Star ngumu hivi DAF imepasuliwa kabisa shoo ya mbele imejilalia kishingo upande
OopsTutakwisha sana aisee...
zinatokea sana, ni kwamba mwisho wa mwaka mambo yanakuzwaTutakwisha sana aisee...
Unajua impact ilikuwa na nguvu gani? Hapo inaonekana kabisa magari yalikuwa kwenye mwendo mdogo ndiyo maana hakukuwa na uharibifu mkubwa.Kumbe body za basi za Asia Star ngumu hivi DAF imepasuliwa kabisa shoo ya mbele imejilalia kishingo upande
Tuna uwezo kabisa wa kuwa na njia mbili kwa barabara zote kuu zinazounganisha mikoa yote. Ni vipaumbele vya serikali tu ni vibaya.Daah tuwe makini barabarani jama. Hali ya hewa hii barabara zinateleza wakati mwingine alama za barabarabi hazionekani vizuri