Ajali: Basi latumbukia mtoni na kuleta maafa

Ajali: Basi latumbukia mtoni na kuleta maafa

Safi sana Mkuu, umenisaidia kupata usafiri wa uhakika,kumbe hawa OTA wapo vizuri,nimepata sasa usafiri wa Dar Njombe wa uhakika,Mwanza-Dar tayari nilishafanya uchaguzi wa LEO LUXURY au KISESA EXPRESS, nimebakiza kujua gari zenye kujali uhai wa watu from Dar to Arusha au Arusha Mwanza ...

Haya makampuni mengine sijui wanaokoteleza madereva wapiga debe uchochoroni,yaani unakuta Dereva hana ethics kabisa za kuendesha gari za Abiria,overtakings zinafanyika utadhani kapakia kuku ndani,shenzi kabisa,vifo vingine vyakujitakia kabisa..!
Kwetu arusha njoo na Dar Express
Dodoma.. shabiby
Tanga.. hakuna gari
 
Back
Top Bottom