Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,796
Ni basi la Alhushum linalofanya safari kati ya Dar na Mbeya.
Ajali imetokea njia panda ya Msosa baada ya basi kupinduka na kuingia mtoni.
Inasemekana majeruhi ni wengi sana wakiwa wamepoteza viungo vyao muhimu hasa mkono/mikono.
Darubini yangu imeonesha kuwa kuna baadhi ya maiti zimesombwa na maji na juhudi za uokozi zilikuwa zikiendelea.
Tuwaombee ndugu zetu wahanga majeruhi wapone haraka,marehemu wapumzike pema peponi.
@chachu2016

Attachments
Last edited by a moderator: