JAMII-ASM
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,305
- 524
Nimepata taarifa..ndugu yangu kapoteza maisha kwenye ajali hii. Nasikia dereva wa Al hushum alikuwa ana overtake. Ni itakuwa alikuwa katika mwendo kasi. Namwomba katibu mkuu Wizara mambo ya ndani ashughulikie sekta hii ya usafirishaji, vinginevyo tutakwisha.