AJALI: Basi la Nata Raha lapata ajali Bunda

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Watu watatu wamepoteza maisha na 19 wajeruhiwa leo asubuhi baada ya basi la Nata Raha toka Serengeti kuacha njia na kugonga nyumba Kwa Sabato, Bunda.

Uokoaji waendelea.
================

UPDATE

Vifo vyafikia 5, Mganga Mkuu Nicholas Machochota athibitisha.

4 wakimbizwa Bugando, Mwanza.
 
Asee poleni wahanga. Madereva kuweni makini. Ajali zinaepukika...hapo usikute ni mwendo kasi ndo chanzo.
 
Watu watatu wamepoteza maisha na 19 wajeruhiwa leo asubuhi baada ya basi la Nata Raha toka Serengeti kuacha njia na kugonga nyumba Kwa Sabato, Bunda.

Uokoaji waendelea.
Ajali ni mbaya sana.
Mwanamke mmoja amekatika kichwa na mkono na Mtoto wake mchanga amefariki.
 
Attachments

  • IMG_20160223_111615.jpg
    IMG_20160223_111615.jpg
    229.2 KB · Views: 59
Ilikuwa ajali mbaya.
Chanzo break zilifeli na hatimaye akashuka nalo tokea Olympus primary school hadi barabara kuu ya Musoma Mwanza na kukatiza ambapo ilimshindia hapo na kugonga nguzo ya umeme na hatimaye kuangukia kwa mafundi pikipiki ambapo mmoja amefariki.
Hii ni ajali ya pili kutokea hapa Bunda Musoma ndani ya wiki moja. Inauma Sana.
 
Attachments

  • IMG-20160223-WA0008.jpg
    IMG-20160223-WA0008.jpg
    130.4 KB · Views: 61
  • IMG-20160223-WA0000.jpg
    IMG-20160223-WA0000.jpg
    100.7 KB · Views: 78
  • IMG-20160223-WA0001.jpg
    IMG-20160223-WA0001.jpg
    149.1 KB · Views: 74
Poleni sana mliofikwa na ajali hii mbaya, kiukweli ukiitazama ni ajali mbaya sana, na hili basi inasemekana lililetwa kwa ajili ya kushindana na A.M ila sasa inaonekana dereva wake hana uzoefu na mabasi ya scania alikua akiendesha vibasi vidogo.
 
Inauma Sana
 
nikiskia ajali nataman watu tuache kusafiri dah!!!sielew tu deal na nani dereva au mmiliki(freemsn)
 
Back
Top Bottom