Is true, nimepita hapa nikiwa kwenye coaster naelekea Mby, tumeliona basi la Hood limelalia ubavu na kuna traffic police pia watu kadhaa wamelizunguka, sijajua ni la kuelekea wapi. So bad, Mungu atuepushe na ajali hizi, Hood ni mabasi yangu kwa route ya Mby Arusha mara kwa mara.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
10 minutes ago HUD BUS LAPIGA mweleka inyala mbeya
kisa,overtaking @ high speed
Why always Hood ?
mwenye hood awe kama Baloteli ajiulize why always me ?????
10 minutes ago HUD BUS LAPIGA mweleka inyala mbeya
kisa,overtaking @ high speed
10 minutes ago HUD BUS LAPIGA mweleka inyala mbeya
kisa,overtaking @ high speed
10 minutes ago HUD BUS LAPIGA mweleka inyala mbeya
kisa,overtaking @ high speed
Siyo kwenye ule mteremko, ni stendi huku juu kabisa kama unaelekea Dar baada ya kupita ile miteremko, ni mahali pazuri tu, most likely alichomekewa ku-overtake.Hood Bus au Hud Bus???
Hata hivyo hapo Inyala ni pabaya sana kutokana ule mtelemko mkali ukichagizwa na kona...
Mungu awape afya marejuhi kama wapo
10 minutes ago HUD BUS LAPIGA mweleka inyala mbeya
kisa,overtaking @ high speed
duh!, tuwekee picha basi mkuu.
hivi kuovertake ni kosa kisheria?
Nauliza tu bandugu. unawezaje kuovertake kwa speed sawasawa na gari/pikipiki unalokusudia kuliovertake.
MAPENZI YA MUNGU YATIMIZWE.
Siyo kwenye ule mteremko, ni stendi huku juu kabisa kama unaelekea Dar baada ya kupita ile miteremko, ni mahali pazuri tu, most likely alichomekewa ku-overtake.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
linaweza kuwa kosa kisheria kama ume-overtake sehemu isiyoruhusiwa......au umeo-overtake bila kuzingatia usalama kulingana na mazingira[kosa la uzembe]