AJALI: Basi la HBS laua wanne na kujeruhi 29

AJALI: Basi la HBS laua wanne na kujeruhi 29

Poleni wote mliofikwa na Msiba huo,tunawaombea majeruhi wapate nafuu haraka.
 
Njia hiyo hiyo HBS a.k.a SABENA walichinja mbayaa mwaka juzi/jana (not sure)

Ukifika stendi ya Mbeya utakuta basi za masafa marefu zilizooza kupita maelezo

Kilichonishangaza/kinachoendelea kunishangaza sana ni kwamba ZINAJAA ABIRIA wakati wote.
 
Nasikia hapo awali yalikuwa yakiitwa Sabena baada kupoteza sana maisha ya watz wasio na hatia kwa ajali ndio wakabadili jina.
Kifupi mabasi Yao ni mabovu sana yaani namaanisha sana.
 
Back
Top Bottom