Toughlendon
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 498
- 743
Ngoja wajuzi waje!!
ganja girl we fikiria tu kwa utulivu alafu uone sababu huwa ni nini...yan me mpaka nachoka kuwadanganya kwa kuwakimbia ila bado wapo tu khaaaNgoja wajuzi waje!!
kaka hela ndio factor kubwa ???...Pesa pesa pesa wacha maneno mkuuu weka pesa tu
aisee kumbe it applies to alot of people......Simple logic ukiwa nao wengi wale wa pembeni wanakuwa na fikra kwamba unayaweza sana mambo na unaweza sana kutunza mwanamke so na wao wanataka kujaribu kukuwin.. but kama huna wanakuona hopeless may be umekimbiwa sana coz huwezi lolote
Unamwachia Mungu sio madam?? Ukweli vita ya kugombea bwana huwa ni mbaya sanaMimi kwangu ni pesa, nikiwa na 5,000 ndiyo siku mitatamani kula soup ya ulimi, nyama choma, mtoto, na ndovu baridi.
Nikiwa na laki ambayo haina budget, wali maharage na uhai vinashuka vizuri tu.
Afadhali kama mmejigundua kuwa wanawake ni nyoka,ila sio wote ila wengi wenu mko hivyo,ndio maana when it comes to a point of having an affair with a woman am always extra careful..Na hakika utawaka tamaa juu yake nae atakutawala, ni laana tuliyopewa juu yenu siku ile ya Eva kula tunda la mti wa katikati
Hiyo sentensi inayaakisi maisha halisi ya mwanamke Mara tu unapobalehe unaanza kuhisi kutaka mwanaume unaota mume na watoto unaanza kujipendezesha ili umpate mwanaume na ukimpata ni kulinda himaya yako ili bwana asione mwanamke mwingine zaidi yako hali ya ushindani inakuwa kali sana kati ya yule mmiliki na wala sidechicks kila mmoja anataka kumuonyrsha mwenzie kwamba mume ananipenda mimi
Usiombe haohao wakakukatia tamaa utajuta maisha ya kuchanganya wanawake ni hulka yenu ila akikugundua na akachoka anakupangia mashambulizi ya kukuangamiza ni ke wachache ambao huwa tunasema namwachia Mungu lkn waliosalia anakuua au kukuroga na hapo ndo mwisho wako
Ninayo mifano hai ya jinsi wanawake walivyogundua na hatua walizochukua sisi kweli ni nyoka na adui wa mwanamke ni mwanamke
900 ItapendezaPesa pesa pesa wacha maneno mkuuu weka pesa tu
Zaidi ya umakini ukikutana na nyoka utajutaAfadhali kama mmejigundua kuwa wanawake ni nyoka,ila sio wote ila wengi wenu mko hivyo,ndio maana when it comes to a point of having an affair with a woman am always extra careful..