Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 5,688
- 8,927
Sio kujaza mafuta ya ma v8.kwanini serikali haifanyi ajustement kwenye Matumizi yake badala yake matumizi ya serikali ni yale yaleHii ni hatari sana
Wewe ulitaka afanye nini ?Hii ni hatari sana
😳Huyo ni Daktari wa Uchumi! Hivyo huna sababu ya kumtilia shaka.
Wanaona kama watu hawawaoniSio kujaza mafuta ya ma v8.kwanini serikali haifanyi ajustement kwenye Matumizi yake badala yake matumizi ya serikali ni yale yale
Honey badger tuliaWewe ulitaka afanye nini ?
Awekwe benchiHuyu ndiye anayemharibia Rais wetu.
Jamaa ni mlaghai kuanzia utosi mpaka unyayo.
Hilo ndilo jibu lako swali kwa Swali langu ?Honey badger tulia
NdioHilo ndilo jibu lako swali kwa Swali langu ?
Misuse of public fundsHalafu hakuna mtanzania asiyelipa Kodi, tozoooooo,unanunu bando,unanunua sigara,unanunua kondom,unanunua bia,unanunua soda,unanunua maandazi ,unanunua gazeti,unanunua dawa ,unanunua umeme tatizo hizi pesa zote zinakwenda wapi ?
Anawaza ******big StarHuyu ndiye anayemharibia Rais wetu.
Jamaa ni mlaghai kuanzia utosi mpaka unyayo.
Babu unemuunga Tena mkono wakt Kuna mahali nilkuona unasemaHuyo ni Daktari wa Uchumi! Hivyo huna sababu ya kumtilia shaka.
Nimempaka tu mafuta kwa mgongo wa chupaBabu unemuunga Tena mkono wakt Kuna mahali nilkuona unasema
Mwigulu hapazwi kufungua mdomo wake Ni Bora autumie tu ktk kula Basi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app