Jee kuna sababu yoyote ya maana kwa kutumia huduma ya mtu halafu usimlipe?
katika kudhihirisha uswahiba na ufisadi wa mapacha watatu,chenge amewasilisha pingamizi la kisheria kutetea dowans ilipwe na serikali ya tanzania.source nipashe leo
kama mahakama imeshindwa kutoa haki iliyo sawa ss wa tz 2na weza.tuungane pamoja muone kama a2shidi zidi ya mafisadi.ndio maana china kesi kama hizi wnakunyonga tu, na ndo maana watu wanakuwa wanafanya kazi kwa interest za nchi na wala sio binafsi,
tunasaini mikataba ya kupinga hukumu ya kifo then watu wanakuwa wazebe na kufanya wanavojisikia, hava ni shenz type kabisa, kama watuhumiwa wa ufisadi wangekuwa wananyongwa basi tungekuwa hatusiii watu kuwa wabadhilifu kwani hakuna mtu anaependa kuwahishwa,
yani tanzania ya leo kila ukisikiliza media ni lazima utakutana na habari ya ubadhilifu wa fedha kwanzia ngazi ya chini hadi juu!
tutafika tu!
huduma zote unazotoa UNALIPWA?
Mkuuu tatizo la TZ hatuna wazalendo wa ukweli ndiyo maana kesi nyingi hata za ushindi wa wazi serikali inashindwa Hi ni sababu iliyo nifanya nimeombe atumie abinadamu ili atusame BURE tuu !!!!!
bIG UP CHENGE
Hii Ni HAki DOWANS KULIPWA MAANA WALITOA HUDUMA KWA WATANZANIA
KILA MTU ALINUFAIKA
bIG UP CHENGE
Hii Ni HAki DOWANS KULIPWA MAANA WALITOA HUDUMA KWA WATANZANIA
KILA MTU ALINUFAIKA[/QUOT
Hatutashangaa wewe na chama chenu cha magamba mtaandamana kumuunga mkono huyo Chenge kwa kujitolea na kuwa mzalendo!!!
wewe na chenge n i wase**
bIG UP CHENGE
Hii Ni HAki DOWANS KULIPWA MAANA WALITOA HUDUMA KWA WATANZANIA
KILA MTU ALINUFAIKA[/QUOT
Hatutashangaa wewe na chama chenu cha magamba mtaandamana kumuunga mkono huyo Chenge kwa kujitolea na kuwa mzalendo!!!
Jee kuna sababu yoyote ya maana kwa kutumia huduma ya mtu halafu usimlipe?
Acha upuuzi wako hatuwezi kukubali ujinga eti kwa vile chenge anajua sheria,yeye ndio alituingiza kwenye hii mikataba ya kinyonyaji kwani by the time alikuwa hajui sheria...unapaswa kujua kuwa chenge sio mzalendo labda kama una personal interest naye..Nakumbuka Bunge lililopita, Mbunge mpya kwa tiketi ya cdm, Tundu Lissu, alipokuwa anajitafutia umaarufu Bungeni kwa kufanya u"tundu" na kuzua malumbano kwa kila hoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, alisimama Chenge na kumpa Tundu hoja moja tuu ya kisheria ambayo ilimfanya Tundu kuwacha utundu wake wa kulumbana, kwani kwa pale ilidhihirika wazi kuwa Tundu ni katoto kwa Chenge kisheria. Nani anaekumbuka?
Kwa mantiki hiyo, ikiwa Chenge kasema fedha ya Dowans walipwe, basi ujuwe kaiona sheria kwa jicho la wazi na anajuwa kutokuwalipa Dowans kunaweza kuleta utata zaidi na kuliingiza Taifa kwenye utata zaidi, Jee, inawezekana kuwa hata Symbion hawatakubali kulipia mitambo ambayo bado ina deni?